FREE SHIPPING ON ORDERS OVER $70
Categories
Promotion
Bidhaa Kemkem

Emoa shopping ni Duka la mtandaoni nchini Tanzania. Kulingana na soko kufurika na kuwa na utitiri wa bidhaa usiokiri Ubora, Sisi kama emoa shopping tumeliona hilo na kuamua kuja nan njia nyepesi itakayomwezesha kila mtanzania kupata  bidhaa zilizo bora zaidi kwa wepesi zaidi na kwa bei ambayo kila mtanzania ataweza kumudu.

Bidhaa zetu ni zipi haswa?

Tumejikita zaidi kwenye vifaa vya SIMU, Vifaa vya Computer, Vifaa vya Play station, Vifaa vya stationary, Laptops, Desktops, Simu, Printers, Wino wa Printer, Nguo za Watoto na kadhalika.

Mifumo yetu ya Kutoa huduma ni upi?

Tuna mawakala karibu nchi nzima yaani; ARUSHA, MWANZA, MTWARA, MBEYA, MOROGORO, DODOMA, IRINGA, TANGA, KILIMANJARO, BABATI, KAHAMA, GEITA, SINGIDA, TABORA, SONGEA, MAKAMBAKO.

Wauzaji ni wengi ila waaminifu ni wachache, ili kukidhi mahitaji ya mteja tumrkuja na mfumo wa POKEA, KAGUA, LIPIA. Mfumo huu unamwezesha mteja kuweka order kupokea Kujiridhisha ndipo alipie.

Bidhaa zetu tunazitoa wapi?

Bidhaa zetu tunazitoa CHINA, DUBAI, CANADA, USA, TURKEY, INDIA NA SOUTH AFRICA.

Mifumo yetu  ya malipo ni ipi?

Lipa namba (TIGO, AITEL, VODA) bank, NMB na CRDB.

Tunashughulikia Vipi MALALAMIKO?

Ikitokea bidhaa imesumbua, mteja atawasiliana na wakala kisha wakala akishaikagua na kujiridhisha kwamba bidhaa ina tatzo basi Tutamtumia bidhaa nyingine kisha atapatiwa.

 

Shopping cart

0
image/svg+xml

No products in the cart.

Continue Shopping